December 31, 2025
Pre Internship Examination for Medical, Dental and Allied Health Students who are expecting to do...
Read moreDecember 31, 2025
For those Medical, Dental and Allied Health practitioners who completed their internship training shall be...
Read moreTANGAZO KWA WATARAJALI WANAOTARAJIA KUANZA MAFUNZO MWEZI NOVEMBA 2026.
Baraza la Madaktari Tanganyika linawatangazia watarajali wote waliofanya maombi ya utarajali kwa ingizo la mwezi Novemba 2026 kuhusu kuwepo kwa changamoto ya mfumo ambayo inafanyiwa kazi na wataalamu.
Aidha, Baraza linaomba radhi kwa changamoto zote zilizojitokeza na kuwaomba watarajali wote kuwa na uvumilivu wakati wataalam wanaendelea kutafuta namna bora ya kushughulikia changamoto iliyojitokeza kwa haraka kadri itakavyowezekana.
INFORMATION FOR INTERNS EXPECTING TO BEGIN INTERNSHIP TRAINING IN NOVEMBER 2026.
The Medical Council of Tanganyika wishes to inform all interns who have applied for November 2026, Internship Training that there is a system challenge that is currently being addressed by our ICT experts.
Furthermore, the Council apologizes for any inconveniences that has been caused and requests all interns to remain patient and calm while our experts are working to find the best way to resolving the observed challenges in the earliest possible time.
| Title: | Adapted etat course for pediatric emergency medicine on district level |
| Provider: | Sengerema Designated District Hospital |
| Location: | Sengerema Designated District Hospital |